Jibu maswali yote kwa ufasaha. Kila swali lina majibu maane lakini ni moja tu lililo sahihi. Chagua jibu moja lililo sahihi.
1. Mwanafunzi awe na uwezo wa kusoma, kuandika, kuzungumza na kusikiliza kwa Kiswahili sanifu.
2. Aweze kueleza mawazo kwa kutumia lugha sahihi.
3. Aelewe sarufi, msamiati na matumizi sahihi ya maneno.
4. Ajifunze maadili, utamaduni na desturi za jamii kupitia Kiswahili.
5. Aweze kutumia Kiswahili kama chombo cha mawasiliano shuleni na nyumbani.
Kiswahili ni somo la mawasiliano linalolenga kukuza ujuzi wa kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika kwa kutumia lugha ya taifa ya Kenya. Somo hili humwezesha mwanafunzi kuelewa utamaduni wa Kiswahili, kutumia lugha katika maisha ya kila siku, na kukuza maadili mema.
Baada ya kukamilisha kiwango cha Darasa la Nne, mwanafunzi anatarajiwa:
Kutumia Kiswahili sanifu kwa mawasiliano ya kila siku.
Kusoma na kuelewa vifungu rahisi vya Kiswahili.
Kuandika sentensi sahihi kisarufi.
Kueleza mawazo kwa uwazi na heshima.
Kuelewa na kuenzi maadili yanayojitokeza katika kazi za Kiswahili.
Elimu Quest - Gredi ya Nne (4) - Lugha ya Kiswahili — Mawasiliano na Sarufi - Siku ya 08
No Review found